WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTIZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA
Mwenyekiti
wa Jukwaa la Katiba, Bw. Deus Kibamba akizungumza katika mkutano na
waandishi wa habari uliofanyika Julai 17, 2014 kuelezea msimamo wa
JUKWAA LA KATIBA juu ya mwenendo uliopita wa bunge hilo.
Kiongozi wa Shule Kuu ya Sheria nchini Kenya, Profesa Patrick
Lumumba alisisitiza suala la wanasiasa kurudi bungeni na kuhakikisha
katiba mpya inapatikana.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.
Wajumbe wa JUKWAA LA KATIBA wakisisitiza jambo.