MBUNGE JOSEPH MBILINYI "SUGU" AFANYA ZIARA MTAA WA TONYA - ITUHA, JIMBONI MBEYA MJINI
- APATA FURSA YA KUKAGUA SHUGHULI ZA MAENDELEO NA KUONGEA NA WAKAZI WA ENEO HILO
- VIJANA WALIOCHUKUA KADI ZA CCM SIKU CHACHE ZILIZOPITA WAZISALIMISHA
Msafara wa Mbunge kuelekea Mtaa wa Tonya
Mbunge alilakiwa na kikundi cha ngoma cha vijana
Mbunge Joseph Mbilinyi akicheza ngoma baada ya kuwasili mtaa wa Tonya
Msafara wa Mbunge ukaelekea kufungua Ofisi ya CHADEMA -Tonya
Mh. Joseph Mbilinyi akiongea kabla ya ufunguzi rasmi wa Ofisi ya Tonya ambaye naye ameshiriki katika kuikamilisha
Hapa Mbunge Sugu akijiandaa kuzindua ofisi
Akisaini kitabu cha wageni kuonyesha kuwa ofisi imefunguliwa rasmi
Hapo Mbunge Joseph Mbiliyi akiongea na wakazi wanaoishi kandokando ya daraja hilo
Joseph Mbilinyi "Sugu" hapo akiwa katika mkutano wa hadhara katika Mtaa huo wa Tonya
Wazee nao walikuwepo kusikiliza Mbunge akielezea shuhuli za kimaendeleo zilizofanyika jimboni
Wazee wakimshukuru Mbunge kwa kuwa mwakilishi wao mwema katika jimbo la Mbeya mjini
Vijana wakikabidhiwa kadi za CHADEMA na mbunge wao
Vijana wakiwemo ambao walirudisha kadi za CCM siku chache zilizopita wakiwa wanaonyesha kadi zao za CHADEMA walizokabidhiwa na Mbunge
Wananchi wakionge na Mh. Joseph Mbilinyi mara baada ya mkutano wa hadhara
Baadaye
Mbunge Sugu alimalizia na kikao cha ndani na baadhi ya wakazi wa Tonya
ambapo pia alipata fursa ya kupokea maoni na maswali na pia alitolea
ufafanuzi mambo mbalimbali
Kwa hisani ya
blog ya Joseph Mbilinyi