Header Ads

TAARIFA KAMILI JUU YA TAARIFA ZA KIFO CHA DR. WILBROAD SLAA WA CHADEMA..!!

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI

   Kumeibuka baadhi ya messeji zikisema kuwa D. Wilbroad Slaa amefariki kwenye ajali ya gari iliyotokea leo asubuh, messeji hizo zimezagaa sana katika mitandao ya kijamii na mpaka tunaandika taarifa hii na sisi tumepokea ujumbe huo ujumbe huo unasema

"Roho ya marehemu Dr Slaa ipumzike kwa amani. Bwana ametoa Bwana ametwaa...

Breaking news; Dr Slaa hatunaye tena. Kwa mujibu wa shirika la utangazaji la taifa (TBC) Dr Slaa amefariki majira ya saa 3.25 asubuhi hii katika ajali mbaya ya gari iliyohusisha gari ndogo haina ya rav 4 na basi la abiria ambapo Dr Slaa na dereva wake walifariki hapohapo. Dr Slaa ameacha mke na watoto watano. Roho ya marehemu ilale mahali pema peponi. Amina"



taarifa kamili ni kuwa Dr. Slaa Ni mzima tena wa afya tena, tunachowaomba ni kupuuzia taarifa hizo za uongo
Powered by Blogger.