LAANA YA MAMA YAKE YAMTISHA WEMA SEPETU
NYOTA wa Filamu za kibongo Wema Sepetu amesema kuwa katika
maisha yake anajitahidi hakosani na mama yake mzazi, Mirium Sepetu
ili kukwepa kupata laana ya kile ambacho anaweza kumtamkia na
kuharibu mwelekeo mzima wa malengo yake aliyojipangia
kuyatimiza akiwa ndani ya ndoa yake..
.Akizungumza na Mpekuzi, Wema alisema kuwa ndio maana kipindi
ambacho mama yake hakutaka kuolewa na mchumba wake Nasibu Abdul
'Diamond' hakupenda kutumia nguvu ama uwezo wake wa kifedha
kumpuuza mzazi wake kwani anaamini angemuumiza na kumfanya
amtamkie maneno mabaya..
Credit:Thechoice