NI SHIDAA!!NABII ASEMA URAIS NI BALAA! 2015 KUCHIMBIKA
NABII
wa Kanisa la The Revelation lililopo Buza Kipera jijini Dar, Yaspi
Bendera amesema uchaguzi mkuu ujao utakuwa balaa kubwa kufuatia maono
anayoyaona wakati akishiriki ibada katika nyakati mbalimbali, Risasi
Jumatano linakupa mkanda kamili.
Nbii wa Kanisa la The Revelation lililopo Buza Kipera jijini Dar, Yaspi Bendera.
Akizungumza
wakati wa ibada kanisani kwake na baadaye na waandishi wetu Novemba 16
mwaka huu, Nabii Yaspi alisema kuna mgongano mkubwa miongoni mwa watu
wanaotajwa kugombea urais, ili kumrithi rais Jakaya Kikwete ambaye
alimwelezea kama kiongozi anayemuona kiroho kila mara.