BREEKING NEWS : ABIRIA 50 WANUSURIKA KIFO MLIMA NYOKA LEO BAADA YA BASI LA MBUKIO MISSIO KUGONGANA NA LORI LA MAFUTA
Basi
la Mbukio Missio muda mfupi baada ya kupata ajali ambayo ilisababishwa
na Dereva wa Basi hilo, Hapa vijana wakiwa wamechukua magazeti wakificha
jina la Basi hilo lisitambulike kwa wale wanaokuja kushuhudia ajali
hiyo, Nia na lengo la kufanya hivyo haijafahamika mpaka sasa.
Lori
la Mafuta lenye namba za Usajiri T332 AGA ambalo Dereva wake Godfrey
Lyimo (33) alikuwa amejeruhiwa vibaya na kukimbizwa hospitali kwa
matibabu zaidi, Hapa Lori hilo la mafuta liliwa Limepinduka.
Basi la Mbukio Missio Likiwa limeharibika vibaya kwa mbele baada ya ajali hiyo
Baadhi ya Mashuhuda wakishuhudia Ajali hiyo
Baadhi ya Abiria , Washuhudiaji pamoja na Askari wakiwa eneo la Mlima Nyoka ambapo ajali ilipo tokea
Picha na Mbeya yetu Blog