Makubwa Haya!! AISHI NA MAITI MIEZI 6 AKIJIPA MATUMAINI ITAFUFUKA!!
Kaling
Wald mwenye umri wa miaka 50 alipatikana na makosa ya kushindwa
kuwaarifu maafisa wa polisi kwamba mumewe alifariki ,kosa ambalo na
akahukumiwa kuwekwa katika muda wa majaribio na ushauri,wakili wake
alikiambia chombo cha habari cha Reuter siku ya Jumanne.
Peter
Wald mwenye umri wa miaka 52 alifariki mnamo mwezi machi mwaka 2013 kwa
kile mamlaka inasema ni sababu za kawaida kufuatia maambukizi ya mguu
wake yanayodaiwa kusababishwa na ugonjwa wa sukari.
Mkewe
Kaling Wald alimwacha kitandani na kufunga chumba hicho katika nyumba
yao ya Hamilton ,Ontario ili kuzuia harufu kali iliokuwa ikitoka
chumbani humo kuwafikia watu waliokuwa wakiishi nyumbani humo.
Kama
vile Yesu alivyomfufua Lazaro baada ya siku ya nne ,pia yeye aliamini
kwamba Mungu atamfufua mumewe wakili wa mwanamke huyo alisema.
via>>BBC