Gari ndogo ikiwa imeharibika vibaya baada ya kugongana na Basi la Meridian
Wasamaria wema wakinasua dereva wa gari ndogo
Dereva wa Gari ndogo akiwa haamini kama amepona
Ajali hii imehusisha basi la abiria la Meridiani pamoja na
gari ndogo binafsi.Dereva wa gari binafsi amenusurika kifo baada ya gari yake
kuharibika vibaya.
Ajali hii imetokea maeneo ya Mkata barabara ya kwenda mikoa
ya Kaskazini.