BREAKNEEEEWS! SUMAYE AHAMIA UKAWA MUDA HUU
Aliyekuwa wariri mkuu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh Fredrick Sumaye amekiama chama chake cha CCM na kuamia UKAWA.
Akiaongea na waandishi wa habari muda huu jijini Dar muda huu amesema hajakiama chama hicho kwa maslahi yake binfsi bali ya Watanzania wote.
Amesema ndani ya chama cha Mapinduzi wanamuona kama sisimizi na hawajui anaumuhimu gani ndani ya chama hicho.....
Tutazidi kuwaletea taarifa zaidi