Header Ads

MABINGWA MAN UNITED WAONYESHA NANI BOSI, ARSENAL CHALI!

>>ROBIN VAN PERSIE AMLIZA WENGER!
MABINGWA Manchester United jana wamewaonyesha Vinara wa Ligi Kuu England Arsenal nani Bosi wa England kwa kuwanyuka Bao 1-0 kwa Bao la Dakika ya 27 la Robin van Persie Uwanjani Old Trafford ambalo limewafanya wapande hadi Nafasi ya 5 wakiwa Pointi 5 tu nyuma ya Arsenal.
++++++++++++++++++++++++
RVP-UBNGWA_NA_20LIGI KUU ENGLAND
MATOKEO:
[Saa za Bongo]
Jumapili Novemba 10
Tottenham 0 Newcastle 1
Sunderland 0 Man City 1
Man United 1 Arsenal 0
Swansea 3 Stoke 3
++++++++++++++++++++++++
MAN UNITED 1 ARSENAL 0
RVP-AIFUNGA_ARSENALManchester United wamesimamisha mbio za Arsenal kileleni mwa Ligi Kuu England kwa kuwafunga Bao 1-0 kwa Bao la kichwa cha Robin van Persie cha Dakika ya 27 kufuatia Kona ya Wayne Rooney.
Arsenal walishindwa kabisa kumfikia Kipa wa Man United David De Gea na walikuwa wamefifia kabisa.
Kipigo hiki kinaendeleza vipigo vya Man United kwa Arsenal ambao mara ya mwisho kuwafunga Man United ni Mwaka 2011 na mara ya mwisho kushinda Uwanjani Old Trafford ni Mwaka wa 2006.
VIKOSI:
Manchester United: De Gea; Smalling, Vidic, Evans, Evra; Valencia, Jones, Carrick, Kagawa; Rooney, Van Persie
Akiba: Lindegaard, Giggs, Hernandez, Nani, Cleverley, Fellaini, Januzaj.
Arsenal: Szczesny; Sagna, Vermaelen, Koscielny, Gibbs; Arteta, Flamini, Ozil, Ramsey, Cazorla, Giroud
Akiba: Fabianski, Wilshere, Monreal, Bendtner, Jenkinson, Gnabry, Hayden.
Refa: Michael Oliver
STOKE CITY 3 SWANSEA CITY 3
MAGOLI:
Swansea 3
Bony 56′, 86′ Dyer 74′
Stoke 3
Walters 8′ Ireland 25′ Adam 90′ (Penati)
VIKOSI:
Stoke: Begovic, Cameron, Shawcross, Huth, Pieters, Walters, Nzonzi, Ireland, Palacios, Arnautovic, Crouch.
Swansea: Tremmel, Rangel, Chico, Williams, Davies; Britton, De Guzman, Pozuelo, Lamah, Routledge, Bony
LIGI KUU ENGLAND
MSIMAMO:
NA
TIMU
P
GD
PTS
1
Arsenal
11
12
25
2
Liverpool
11
11
23
3
Southampton
11
10
22
4
Chelsea
11
8
21
5
Man Utd
11
5
20
6
Everton
11
4
20
7
Tottenham
11
3
20
8
Man City
11
16
19
9
Newcastle
11
-1
17
10
West Brom
11
0
14
11
Aston Villa
11
-1
14
12
Hull
11
-5
14
13
Swansea
11
0
12
14
Cardiff
11
-6
12
15
Norwich
11
-12
11
16
West Ham
11
-2
10
17
Stoke
11
-4
10
18
Fulham
11
-9
10
19
Sunderland
11
-14
7
20
Crystal Palace
11
-15
4
RATIBA MECHI ZIJAZO:
Jumamosi 23 Novemba
1545 Everton v Liverpool
1800 Arsenal v Southampton
1800 Fulham v Swansea City
1800 Hull City v Crystal Palace
1800 Newcastle United v Norwich City
1800 Stoke City v Sunderland
2030 West Ham United v Chelsea
Jumapili 24 Novemba
1630 Manchester City v Tottenham Hotspur
1900 Cardiff City v Manchester United
Jumatatu 25 Novemba
2300 West Bromwich Albion v Aston Villa
Powered by Blogger.