MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AJUMUIKA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU KUUPOKEA MWAKA MPYA WA KIISLAMU 1435 HIJRIYYA, JIJINI DAR ES SALAAM
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalaimiana na baadhi ya Viongozi wa Jumuiya ya Istiqaama Tanzania,
wakati alipowasili kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, leo
Vov 10, 2013 kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya kuupokea mwaka mpya wa
Kiislamu 1435 Hijriyya. Katikati ni Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es
Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Mohammed Gharib
Bilal, akiwasili kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Nov
10, 2013 kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya kuupokea mwaka mpya wa
Kiislamu 1435 Hijriyya.
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, akizungumza
machache kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais, Dkt. Bilal,kuhutubia.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi zawadi Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa
Salum, kwa kutambua mchango wake katika kufanikisha hafla ya kuupokea
mwaka mpya wa Kiislamu 1435 Hijriyya, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa
Karimjee jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia katika hafla ya sherehe za kuukaribisha mwakama mpya wa
Kiislamu 1435 Hijriyya, zilizofanyikwa kwenye Ukumbi wa Karimjee,jijini
Dar es Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwaongoza baadhi ya Viongozi wa Jumuiya ya Istiqaama, kuomba dua
wakati wa hafla ya kuupokea mwaka mpya wa Kiislamu 1435 Hijriyya,
iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam,leo.
Sehemu
ya waumini wa dini ya Kiislamu,waliohudhuria hafla ya kuupokea mwaka
mpya wa Kiislamu 1435 Hijriyya, katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es
Salaam, leo.
Sehemu
ya waumini wa dini ya Kiislamu,waliohudhuria hafla ya kuupokea mwaka
mpya wa Kiislamu 1435 Hijriyya, katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es
Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiteta jambo na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa
Salum, wakati wa hafla ya kuupokea mwaka mpya wa Kiislamu 1435 Hijriyya,
iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, leo.
Picha ya pamoja ya kumbukumbu baada ya hafla hiyo.Picha Zote na Ofisi ya Makamu wa Rais