SSRA YAIBUKA KIDEDEA TUZO ZA NBAA
Mkurugenzi
wa Uandikishaji na matekelezo Bi. Lightness Mauki (kushoto) na wageni
wengine wakisikiliza maelezo yanayotolewa na Mkurugenzi mkuu wa NBAA
bwana Pius Maneno ( hayupo pichani) wakati wa halfa ya utoaji tuzo ya
NBAA wakati wa hafla ya utoaji tuzo za NBAA iliyofanyika katika hotel
ya Naura Spring Arusha.
Picha ya pamoja ya washindi wote wa kwanza wa tuzo ya NBAA.
Mkurugenzi wa Fedha Utawala na Mipango Bwana. Mohamed Nyasama na Bi. Sarah Kibonde Msika Mkuu wa mawasiliano na uhamasishaji wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa SSRA Bi. Irene Isaka na mara baada ya kupokea tuzo ya NBAA katika hotel ya Naura Spring –jijini Arusha.
Picha ya pamoja ya wafanyakazi wa
SSRA mara baada ya kupokea tuzo ya NBAA wakiwa wshindi wa kwanza katika
uwasilishaji wa mahesabu safi kwa kutumia mfumo wa IPSAS, wa pili
kutoka kushoto ni bwana Athumani Juma – Mhasibu wa SSRA.
Mkurugenzi
Mkuu wa SSRA Bi Irene Isaka akiongea na waandishi wa habari kuhusu
tuzo ambayo ya NBAA ambayo SSRA wameipata wakiwa washindi wa kwanza .
Source michuzi.