Header Ads

FA CUP: EVERTON WATINGA ROBO FAINALI, KUCHEZA NA LIVERPOOL AU ARSENAL!!

  >DROO YA ROBO FAINALI TAYARI!!
FA CUP
Raundi ya Tano
RATIBA/MATOKEO:
Jumapili Februari 16
Everton 3 Swansea 1
1800 Sheffield United v Nottingham Forest
1900 Arsenal v Liverpool
+++++++++++++++++++++++++++++
EVERTON 3 SWANSEA 1
Everon Leo wametinga Robo Fainali ya FA CUP na huko watakutana na Mshindi kati ya Arsenal au LiverpoolFA_CUP_2013-2014wanaocheza hii Leo huko Emirates.
Everton, wakicheza kwao Goodison Park, waliichapa Swansea City Bao 3-1.
+++++++++++++++++++++++++++++
DROO YA ROBO FAINALI:
Mechi kuchezwa Wikiendi ya Jumamosi Machi 8
Manchester City v Wigan
Sheffield United/Nottingham Forest v Sheffield Wednesday/Charlton
Brighton/Hull v Sunderland
Arsenal/Liverpool v Everton
+++++++++++++++++++++++++++++
Bao za Everton zilifungwa na Mchezaji mpya Lacina Traore, Dakika ya 4, Naismith, Dakika ya 65 na Penati ya Dakika ya 72 ya Leighton Baines 72.
Bao pekee la Swansea lilifungwa na Jonathan de Guzman katika Dakika ya 15.
VIKOSI:
Everton: Robles, Coleman, Jagielka, Distin, Baines, Mirallas, McCarthy, Barry, Pienaar, Barkley, Traore
Akiba: Hibbert, McGeady, Deulofeu, Naismith, Osman, Howard, Stones.
Swansea: Tremmel, Richards, Bartley, Amat, Taylor, Canas, de Guzman, Hernandez, Routledge, Lamah, Vazquez
Akiba: Vorm, Williams, Britton, Bony, Dyer, Lita, Tiendalli.
Refa: Kevin Friend
FA CUP
Raundi ya Tano
RATIBA:
[Saa za Bongo]
Jumatatu Februari 17
2245 Brighton v Hull
+++++++++++++++++++++++
THE FA CUP WITH BUDWEISER
MSIMU 2013-14
TAREHE ZA RAUNDI:
-RAUNDI YA 6: Jumamosi Machi 8
-NUSU FAINALI: Jumamosi Aprili 12 & Jumapili Aprili 13
-FAINALI: Jumamosi Mei 17
+++++++++++++++++++++++++++++
Powered by Blogger.