Majina ya wajumbe wa Bunge maalumu la katiba haya hapa.
Wanahabari wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Florence Turuka akitangaza
majina ya wajumbe wa Bunge Maalum la katiba yakitangazwa jioni hii
katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Mawasiliano Ikulu jijini Dar es
salaam. Bunge
la Katiba litakalokuwa na wajumbe 640, litakutana kwa siku 70 (na
kuongezewa siku 20 kama hawatoafikiana) kujadili Rasimu ya Katiba
iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Desemba 30, mwaka jana.
Kupata orodha kamili ya majina hayo BOFYA HAPA
Kupata orodha kamili ya majina hayo BOFYA HAPA