Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwana mfalme wa Uingereza Prince
Charles wakati wa mkutano uliojadili vita dhidi ya biashara haramu ya
wanyamapori huko Clarence House London nchini Uingereza.Mkutano huo
uliandaliwa na Prince Charles.(picha kwa hisani ya Clarence House)