DKT. SHEIN AWASILI MJINI DODOMA LEO TAYARI KWA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa
CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa
Dodoma Dk.Rehema Nchimbi mara alipowasili katika uwanja wa Ndege wa
Dodoma leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa
CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na viongozi mbali mbali
alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Dodoma leo akihudhuria katika
kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kinachoanza jioni hii.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa
CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiimba wimbo wa Chama
alipokaribishwa na Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM Makao Makuu Dodoma
leo,mara liowasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma Mjini (wa pili
kulia) Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk.Rehema Nchimbi.
Vijana
wa Chama cha Mapinduzi CCM Makao Makuu Dodoma wakimkaribisha Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa
CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipowasili katika uwanja wa Ndege
wa Dodoma leo.(Picha na Ramadhan Othman,Dodoma.)