Taswira toka Bunge Maalum la katiba mjini Dodoma
Wajumbe la Katiba Mhe. Sophia Simba (kushoto) akijadiliana jambo Mhe
Janet Mbene pamoja na Profesa Ibrahim Lipumba
Baadhi ya wabunge wakibadilishana mawazo kutoka
kulia, Mhe. Jum Ali Khatibu, Mhe. Rashid Rai, Mhe. Kuga Mzirai na Mhe. Yusuf Manyanga
Mhe.Ibrahimu Lipumba akichangia wakati wa
semina ya kujadili rasimu ya kanuni za Bunge Maalum za mwaka 2014.
Mwenyekiti
wa bunge maalumu la katiba Mhe.Pandu Ameir Kificho (kushoto) akifurahia
jambo na baadhi ya wabunge wa Bunge hilo kutoka
Tanzania Visiwani.
Mwenyekiti wa UPDP, Mhe. Fahami Dovutwa akijadiliana
jambo na Mwenyekiti wa TADEA Mhe. John Lifa Chipaka.
Waziri mkuu Mhe.Mizengo Pinda akibadilishana mawazo
na baadhi ya wajumbe wa Bunge maalumu la katiba baada ya kikao kuahirishwa
Mwenyekiti
wa chama cha NCCR-Mageuzi Mhe James Mbatia (aliyesimama) akiongea na
Mwenyekiti wa chama cha TLP Mhe Augustino Lyatonga Mrema (aliyevaa
kofia) semina ya kujadili rasimu ya kanuni zitakazo
tumika wakati wa bunge maalum.
Mhe.Peter Serukamba akichangia wakati wa semina ya
kujadili kanuni za bunge la katiba mpya.
Mhe Hawa Ghasia akichangia
Mhe.Eng Christopher Chiza akijadiliana jambo na
Mhe.Spika Anne Makinda.
Mhe. Profesa Ibrahim Lipumba (kushoto) akiteta jambo na
Mhe. Profesa Mark Mwandosya wakati wa kujadili rasimu ya kanuni za Bunge.
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe. Anne Makinda na Makamu wa Rais
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif Ali Idd wakifuatilia kwa
makini
semina ya kujadili kanuni za Bunge.
Mhe Stella Manyanya akichangia wakati wa Semina hiyo
Wajumbe Mhe Zakhia Meghji (kulia) na Mhe Hilda Ngoiye wakitoka nje wakati wa mapumziko. Picha zote na Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii, Kanda ya Kati