Header Ads

LIGI KUU ENGLAND: ARSENAL WAKARIBIA KUFUZU ULAYA!

OZIL-MAJUTOArsenal wamebakisha ushindi katika Mechi yao moja kati ya mbili walizobakiza ili kujihakikishia wanamaliza Nafasi ya 4 na kucheza UEFA CHAMPIONZ LIGI Msimu ujao baada ya Jana Usiku kuifunga Newcastle Bao 3-0 huko Emirates Jijini London kwenye Mechi pekee ya Ligi Kuu England.
Bao za Arsenal zilifungwa na Laurent Koscielny alipounganisha Frikiki ya Santi Cazorla katika Dakika ya 26, Mesut Ozil Dakika ya 42 na Olivier Giroud Dakika ya 66.
Kipigo hiki ni muendelezo wa Matokeo mabaya kwa Newcastle ambao sasa wamefungwa katika Mechi zao 7 kati ya 8 walizocheza mwisho kwenye Ligi na wanabaki kwenye Nafasi yao ya 9.
VIKOSI:
ARSENAL: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Arteta, Ramsey, Ozil, Cazorla, Podolski, Giroud
Akiba: Fabianski, Jenkinson, Vermaelen, Kallstrom, Flamini, Rosicky, Sanogo.
NEWCASTLE: Krul; Debuchy, Williamson, Coloccini, Dummett; Gosling, Anita, Tiote, Gouffran; Sissoko; Remy
Akiba: Elliot, Haidara, Yanga-Mbiwa, S Taylor, Obertan, Armstrong, Shola Ameobi.
REFA: Neil Swarbrick
LIGI KUU ENGLAND:
MSIMAMO:
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Liverpool
36
25
5
6
96
46
50
80
2
Chelsea
36
24
6
6
69
26
43
78
3
Man City
35
24
5
6
93
35
58
77
4
Arsenal
36
22
7
7
65
41
24
73
5
Everton
36
20
9
7
57
36
21
69
6
Tottenham
36
20
6
10
52
49
3
66
7
Man United
35
18
6
11
60
40
20
60
8
Southampton
36
14
10
12
52
45
7
52
9
Newcastle
36
14
4
18
39
57
-18
46
10
Stoke
36
11
11
14
39
50
-11
44
11
Crystal Palace
36
13
4
19
28
43
-15
43
12
Swansea
36
10
9
17
51
52
-1
39
13
Hull
35
10
7
18
36
45
-9
37
14
West Ham
36
10
7
19
38
49
-11
37
15
West Brom
35
7
15
13
42
54
-12
36
16
Aston Villa
35
9
8
18
36
53
-17
35
17
Sunderland
35
8
8
19
37
57
-20
32
18
Norwich
36
8
8
20
28
60
-32
32
19
Fulham
36
9
4
23
37
79
-42
31
20
Cardiff
36
7
9
20
31
69
-38
30
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA:
[Saa za Bongo]
Jumamosi 3 Mei 2014
1445 West Ham v Tottenham
1700 Aston Villa v Hull
1700 Man United v Sunderland
1700 Newcastle v Cardiff
1700 Stoke v Fulham
1700 Swansea v Southampton
1930 Everton v Man City
Jumapili 4 Mei 2014
1530 Arsenal v West Brom
1800 Chelsea v Norwich
Jumatatu 5 Mei 2014
2200 Crystal Palace v Liverpool
Jumanne 6 Mei 2014
2145 Man United v Hull
Jumatano 7 Mei 2014
2145 Man City v Aston Villa
2145 Sunderland v West Brom
Jumapili 11 Mei 2014
[Mechi zote Saa 1700]
Cardiff v Chelsea
Fulham v Crystal Palace
Hull v Everton
Liverpool v Newcastle
Man City v West Ham
Norwich v Arsenal
Southampton v Man United
Sunderland v Swansea
Tottenham v Aston Villa
West Brom v Stoke
Powered by Blogger.