RAIS KIKWETE USO KWA USO NA PINTO MWENYEKITI WA TASWA
Rais
Jakaya Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa
Habari za Michezo Tanzania (TASWA), ambaye pia ni mmiliki wa magazeti ya
JamboLeo na Staa Spoti, Juma Pinto wakati wa hafla ya maadhimisho ya
miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Ikulu, Dar es Salaam
juzi..PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG (FS)