KINANA, AITEKA MBULU, MKUTANO WAKE WA HADHARA WAFURIKA MAELFU YA WANANCHI KUMSIKILIZA
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdul;rahman Kinana akiwasalimia wananchi alipowasili
katika Uwanja wa Mbulu mjini, kuhutubia mkutano wa hadhara akiwa katika
ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama na kusikilkiza kero za
wananchi mkoani Manyara, Mei 28, 2014.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi kwenye Uwanja wa Mbulu mjini, leo Mei 28, 2014.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano huo
Mapokezi ya Kinana kuingia wilayani Mbulu akitokea Katesh, leo Mei 28, 2014
Kinana
akishindilia udongo kwa mashine kwenye ujenzi wa daraja la Gorong'aida
eneo la Kilimapunda, linalounganisha kutoka Katesh hadi Singida, leo Mei
28, 2014
Nape
akishindilia udongo kwa mashine kwenye ujenzi wa daraja la Gorong'aida
eneo la Kilimapunda, linalounganisha kutoka Katesh hadi Singida.
Kinana
na Nape akiwasalimia madaktari alipotembelea hospitali ya Haydom
wilayani Mbulu alipotembelea hospitali hiyo mkoani Manyara
Kinana
akitoka katika hospitali ya Haydom baada ya kutembezwa katika maeneo
mbalimbali ya utoaji huduma kwenye hospitali hiyo leo
Kinana akizungumza na watumishi Haydom
Wwatumishi wa hospitali ya Haydom wakiwa kwenye mkutano na Kinana
Daktari Mkuu wa Hospitali ya Haydom akizungumza kwenye mkutano wa Kinana na watumishi wa hospitali hiyo.
Kinaana akihutubia mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya Ofisi ya CCm Haydom leo
Katibu
Mkuu wa CCM, Kinana akimpongeza aliyekuwa Katibu wa Wanawake wa
Chadema, Haydom, Victoria Mshama, baada ya kutangaza kuhamia CCM wakati
wa mkutano hadhara aliofanya Katibu Mkuu huyo katika kata hiyo ya
Haydom. Kulia ni Nape
Wananchi wakifurahia hotuba ya Kinana kwenye mkutano wa Haydom
Katibu
Mkuu wa CCM, Kinana akishiriki kuweka zege jengo la nyumba ya Mwalimu
shule ya sekondari ya Yaenda Chini, mkoani Manyara leo Mei 28, 2014
Kinana akikagua moja ya wodi katika hospitali ya Mbulu wakati alipofika kuzindua jengo la upasuaji la hospitali hiyo leo, Mei 28, 2014. Picha zote na Bashir Nkoromo,