Home
Unlabelled
MOTO WATEKETEZA MADUKA MANZESE DARAJANI DAR!
MOTO WATEKETEZA MADUKA MANZESE DARAJANI DAR!
Moshi
ukiwa umetanda Manzese Darajani wakati moto ukiendelea kuwaka na
kuteketeza baadhi ya Maduka ya Manzese Darajani jijini Dar.
...Baadhi ya bidhaa zilizookolewa zikiwa kando ya Barabara ya Morogoro eneo la Manzese Darajani huku watu wakishuhudia.Viti, meza na vitu vingine vikiwa vimeokolewa.
Baadhi
ya wagonjwa wa Hospitali ya Morden Centre iliyopo Manzese darajani
wakiwa ndani ya gari la wagonjwa baada ya kutimua hospitali kuhofia
maisha yao baada ya maduka jirani na hospitali hiyo kuwaka moto na moshi
kujaa hospitalini, hivyo kuwapa hofu wakonjwa. Chanzo cha moto huo
hakijajulikana na vikosi vya uokoaji vinaendelea na kazi ya uokoaji (PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS/GPL)
MOTO WATEKETEZA MADUKA MANZESE DARAJANI DAR!
Reviewed by Unknown
on
12:31 PM
Rating: 5