Basi la New Force lililokuwa likitoka Dar es salaam kuja Mbeya limepata ajali maeneo ya Igurusi na kusababisha Vifo vya watu wawili eneo la tukio na kisha kujeruhi watu wengine 40 ambao wamekimbizwa Hospitali kwa ajili ya kupatiwa matibabu, Watu waliofariki katika ajali hiyo walikuwa ni watembea kwa miguu,chanzo cha ajali hiyo hiyo ni kupoteza mwelekeo.