Huu ni mwonekano wa Soko la Karume Baaada ya kuungu hapo juzui Hiki ni kitu ambacho kilipatikana mara baada ya moto kuzimwa eneo hilo la soko,Kila mtu ana maswali mengiiiiii bila majibu Je ni kitu gani hicho?au wewe ndugu msomaji unaweza tambua ni kitu gani Hiki?