UCHUNGUZI ULIOFANYWA NA SERIKALI KWA USHIRIKIANO NA VIONGOZI WA SOKO LA MCHIKICHINI WABAINI CHANZO CHA MOTO KATIKA SOKO HILO!
Uchunguzi uliofanywa na serikali kwa kushirikiana na viongozi wa wafanyabiashara wa soko la Mchikichini eneo la Karume Ilala jijini Dar es Salaam umebaini kuwa moto ulioteketeza soko hilo ulisababishwa na
uunganishwaji holela wa umeme katika vibanda vilivyo ndani ya soko hilo.