Waziri mkuu mstaafu an mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akifungua kitambaa kuashiria uzinduzi wa bwawa kubwa la maji la Leken katika kata ya Seleli wilayani Monduli leo Ijumaa.Bwawa hilo ambalo limegharimu kiasi Cha shilingi bilioni moja unusu, lina ukubwa wa kilomita tatu. Mh Lowassa na mkewe wakivishwa nguo za kimasai ikiwa ni ishara ya shukrani kutoka kwa wananchi wa Seleli,kwa kufanikisha ujenzi wa bwawa hilo ambalo ni mkombozi mkubwa kwa wakaazi wa eneo hilo an maeneo ya jirani