Header Ads

TAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2014 HAYA HAPA..

MATOKEO YA KIDATO CHA 6 2014 YATANGAZWA
Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 – 21, yametoka.
Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato cha 6 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825


Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420 sawa na asilimia 12.54
Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.
KUYAONA MATOKEO . BOFYA HAPA
Powered by Blogger.