WAZIRI HAWA GHASIA USO KWA USO NA MHE JOHN MNYIKA MOROGORO.
Waziri
wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Tamisemi Hawa Ghasia akizungumza jambo na
mbunge wa jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam, John Mnyika mara baada
ya waziri huyo kufungua mkutano wa viongozi
wa siasa kujadili maoni ya kuboresha kanuni za uchaguzi wa viongozi wa
Mamlaka za serikali za mitaa mjini Morogoro..
Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Morogoro Innocent Kalogeria kulia naye akizungumza na
Mwenyekiti wa Chadema mkoa huo wa Morogoro Suzan Kiwanga baada ya ufunguzi
huo.PICHA/MTANDA BLOG.