Header Ads

KUTOKA DODOMA JIONI HII--ZITTO HAKAMATIKI,AFANYA MKUTANO WA KIHISTORIA

Baada ya jana chama cha ACT wazalendo kuifunika morogoro leo ilikuwa ni zamu ya dodoma ambapo kimefanya mkutano mkubwa katika uwanja wa mashujaa mkoani humo,hapa nimekuwekea picha kadhaa za mkutano mzima wa leo.






Powered by Blogger.