Burudani ya Skylight Band Ijumaa ya kwanza kwa mwaka 2014 ndani ya kiota cha Thai Village
Digna Mbepera akiwaimbia kwa hisia mashabiki wa Skylight Band
Ijumaa ya kwanza kwa mwaka 2014 ndani ya kiota cha Thai Village Masaki
jijini Dar huku akisindikizwa na Mary Lucos pamoja na Winnie.
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akifanya yake jukwaani huku akisindikizwa na Rappa Joniko Flower sambamba na Winnie.
Aneth Kushaba AK47 akiimba na kucheza na mashabiki wa Skylight Band wanaokunwa na uimbaji wake.
Njagalawe chimanyee baby........!!!Kutoka kushoto ni Hashim
Donode, Winnie na Digna Mbepera wakitoa burudani kwa mashabiki wa
Skylight Band.
Mashabiki wakiburudika na Skylight Band ndani ya kiota cha Thai Village Ijumaa ya kwanza tangu mwaka 2014 uanze.
Kanyaga twende...kutoka kushoto ni Mary Lucos, Sony Masamba na Winnie wakicheza staili ya "Yachuma chuma".
Ni mwendo wa mukanda ya chuma......!
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Hapo Je......Tiki titi titi......hii ni Gym tosha kila Ijumaa ndani ya Thai Village Masaki.
Mary Lucos akiwaburudisha mashabiki wa Skylight Band.
Skylight Band na watu wastaarabu ndani ya kiota cha Thai Village.
Hashim Donode akikamua jukwaani.
Mzungu akionekana kuchizika na Skylight Band.
Mary Lucos akiwapa raha za Pwani mashabiki wa Skylight Band.
Wake kwa waume kwa raha zao wakizungusha mduara.
Mh. Bundala kwa raha zake akijinafasi.....burudani mwanzo mwisho....
Sam Mapenzi akipagawisha mashabiki wa Skylight Band....!
Skelewu....Skelewu....Skeleleleeeee....!!
Aneth Kushaba AK47 akicheza na mdau Anorld wa Skylight Band.
Aneth Kushaba AK47 na Petit Man wakipata Ukodak.
Mdau kutoka DStv na warembo wa ukweli ndani ya Thai Village.
Mwanafamilia wa Skylight Band Victor Maginga akipata Ukodak na wadau.
Mdau Alois Ngonyani na Swahiba wake.
Mdau Cosmas Mtesigwa (kulia) na marafiki kabla ya kukwea pipa
kuelekea Zambia aliamua kuja kula bata na Skylight Band.....Vitu kama
hivi adimu nchi za watu...
Wadau wakiendelea kupata Ukodak.
Wadau wakipata Ukodak.