Header Ads

LIGI KUU ENGLAND: BAO 2 DAKIKA 1, ARSENAL YARUDI KILELENI!

WILSHERE_n_WENGERBao mbili za Olivier Giroud na Jack Wilshere, ndani ya Dakika moja katika Kipindi cha Kwanza huko Villa Park, zimewarudisha Arsenal kwenye kilele cha Ligi Kuu England baada kuifunga Aston Villa Bao 2-1.
Aston Villa ndio Timu ya kwanza kuichapa Arsenal Bao 3-1 Siku ya Kwanza tu ya Msimu huu huko Emirates lakini Usiku huu Arsenal wamelipiza kisasi.
Bao za Arsenal zilifungwa katika Dakika ya 34 na 35.
Villa walipata Bao lao kwenye Dakika ya 76 kwa kichwa cha Christian Benteke baada ya Krosi ya Michael Lowton.
VIKOSI:
Aston Villa: Guzan; Lowton, Vlaar, Clark, Baker, Luna; El Ahmadi, Westwood, Delph; Agbonlahor, Benteke
Akiba: Steer, Sylla, Bacuna, Tonev, Helenius, Weimann, Albrighton.
Arsenal: Szczesny; Sagna, Mertesacker, Koscielny, Monreal; Wilshere, Flamini; Cazorla, Ozil, Gnabry; Giroud
Akiba: Fabianski, Jenkinson, Gibbs, Rosicky, Podolski, Oxlade-Chamberlain, Ju-Young Park
Refa: Neil Swarbrick
MSIMAMO:
NA
TIMU
P
GD
PTS
1
Arsenal
21
22
48
2
Man City
21
36
47
3
Chelsea
21
21
46
4
Liverpool
21
25
42
5
Everton
21
15
41
6
Tottenham
21
1
40
7
Man United
21
11
37
8
Newcastle
21
2
33
9
Southampton
21
4
30
10
Hull
21
-5
23
11
Aston Villa
21
-7
23
12
Stoke
21
-13
22
13
Swansea
21
-4
21
14
West Brom
21
-5
21
15
Norwich
21
-18
20
16
Fulham
21
-24
19
17
West Ham
21
-10
18
18
Cardiff
21
-18
18
19
Sunderland
21
-15
17
20
Crystal Palace
21
-18
17
RATIBA:
[Saa za Bongo]
Jumamosi Januari 18
1545 Sunderland v Southampton
1800 Arsenal v Fulham
1800 Crystal Palace v Stoke
1800 Man City v Cardiff
1800 Norwich v Hull
1800 West Ham v Newcastle
2030 Liverpool v Aston Villa
Jumapili Januari 19
1630 Swansea v Tottenham
1900 Chelsea v Man United
Jumatatu Januari 20
2300 West Brom v Everton
Jumanne Januari 28
2245 Man Utd v Cardiff
2245 Norwich v Newcastle
2245 Southampton v Arsenal
2245 Swansea v Fulham
2300 Crystal Palace v Hull
2300 Liverpool v Everton
Jumatano Januari 29
2245 Aston Villa v West Brom
2245 Chelsea v West Ham
2245 Sunderland v Stoke
2245 Tottenham v Man City
Powered by Blogger.