Header Ads

LIGI KUU ENGLAND: CHELSEA YAIPIGA EVERTON 1-0 DAKIKA ZA MAJERUHI!


RATIBA/MATOKEO:
Jumamosi Februari 22
Chelsea 1 Everton 0
[Saa za Bongo]
1800 Arsenal v Sunderland
1800 Cardiff v Hull
1800 Man City v Stoke
1800 West Brom v Fulham
1800 West Ham v Southampton
2030 Crystal Palace v Man United
++++++++++++++++++++++++++++
FRANK_LAMPARDBAO la Dakika za Majeruhi Leo huko Stamford Bridge limewapa Chelsea ushindi wa Bao 1-0 walipocheza na Everton na kuwawezesha kuendelea kukaa kileleni mwa Ligi Kuu England wakiwa Pointi 4 mbele ya Arsenal.
Bao hilo lilifungwa baada ya Frank Lampard kupiga Frikiki ambayo John Terry aliitokea na kumletea kashikashi Kipa Tim Howard bila kugusa Mpira na shuti hilo la Lampard kumgonga Howard mkononi na kutiririka wavuni.
Hili lilikuwa pigo la kikatili kwa Everton ambao katika Mecho nzima walisimama kidete kuikabili Chelsea huku Kipa wao Tim Howard akisimama imara kuzuia majaribio ya Samuel Eto'o, Eden Hazard, Lampard na Branislav Ivanovic.
Ushindi huu umewafanya Chelsea waendelee kudumisha Rekodi yao ya kutofungwa na Everton Uwanjani Stamford katika Mechi za Ligi Kuu England na Rekodi inasimama kwa Ushindi Mechi 10 na Sare 9. 
VIKOSI:
CHELSEA: Cech; Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta; Lampard, Matic; Willian, Oscar, Hazard, Eto'o
Akiba: Cole, Ramires, Torres, Schurrle, Salah, Ba, Schwarzer.
EVERTON: Howard, Baines, Distin, Jagielka, Coleman, Barry, McCarthy, Pienaar, Osman, Mirallas, Traore
Akiba: Robles, Hibbert, McGeady, Deulofeu, Naismith, Barkley, Stones.
REFA: Lee Probert
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA MECHI ZIJAZO:
[Saa za Bongo]
Jumapili Februari 23
1630 Liverpool v Swansea
1630 Newcastle v Aston Villa
1900 Norwich v Tottenham
MSIMAMO:
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1 
Chelsea
27
18
6
3
49
21
28
60
2
Arsenal
26
17
5
4
48
26
22
56
3
Man City
25
17
3
5
68
27
41
54
4
Liverpool
26
16
5
5
66
32
34
53
5
Tottenham
26
15
5
6
36
32
4
50
6
Everton
26
12
9
5
37
27
10
45
7
Man United
26
12
6
8
41
31
10
42
8
Southampton
26
10
9
7
37
29
8
39
9
Newcastle
26
11
4
11
32
38
-6
37
10
Swansea City
26
7
7
12
33
36
-3
28
11
West Ham
26
7
7
12
28
33
-5
28
12
Aston Villa
26
7
7
12
27
36
-9
28
13
Hull
26
7
6
13
25
31
-6
27
14
Stoke
26
6
9
11
27
41
-14
27
15
Crystal Palace
25
8
2
15
18
34
-16
26
16
Norwich
26
6
7
13
19
39
-20
25
17
West Brom
26
4
12
10
30
38
-8
24
18
Sunderland
25
6
6
13
25
38
-13
24
19
Cardiff
26
5
7
14
19
44
-25
22
20
Fulham
26
6
2
18
26
58
-32
20

Powered by Blogger.