Header Ads

LIGI KUU ENGLAND YAREJEA JUMAMOSI, CHELSEA v EVERTON KUANZA!

>>KUFUATA ARSENAL v SUNDERLAND, CITY v STOKE!
>>PALACE v MAN UNITED KUMALIZA JUMAMOSI!
BPL2013LOGOLIGI KUU ENGLAND, baada Wikiendi iliyopita kupisha FA CUP, inarejea dimbani Jumamosi kwa Mechi 7 na Vinara Chelsea ndio watakaofungua dimba kwa kucheza kwao Stamford Bridge na Everton.
Baada ya Mechi hiyo itakayoanza Saa 9 Dakika 45 Mchana, Saa 12 Jioni zipo Mechi 5 zikiwa pamoja na zile za Arsenal v Sunderland na Man City v Stoke City.
Mechi ya mwisho Siku hiyo ya Jumamosi ni ile kati ya Crystal Palace na Manchester United itakayochezwa Selhurst Park kuanzia Saa 2 na Nusu Usiku.
Lakini Siku hiyo Jumamosi, Mjerumani Felix Magath ataweka historia kwa kuwa Mjerumani wa Kwanza kuwa Meneja wa Klabu ya Ligi Kuu England atakapoiongoza Fulham, iliyo mkiani mwa Ligi, itakapoivaa West Bromwich Albion huko The Hawthorns.
Magath aliteuliwa kuwa Meneja mpya wa Fulham mwanzoni mwa Wiki kuchukua nafasi ya Rene Meulensteen alietimuliwa na kazi yake kubwa ni kuinusuru Fulham kushushwa Daraja.
Magath, ambae ametwaa Ubingwa wa Bundesliga mara 3 akiwa na Bayern Munich, mara 2, na Wolfsburg, amesema lengo lake ni kushinda si chini ya Mechi 6 ili kujikwamua kuporomoka Daraja.
Ligi itaendelea Jumapili kwa Mechi 3 ambapo Liverpool watakuwa kwao Anfield kucheza na Swansea, Newcastle wapo Nyumbani Saint James Park kuivaa Aston Villa na Tottenham wako Ugenini kucheza na Norwich City huko Carrow Road.
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA MECHI ZIJAZO:
[Saa za Bongo]
Jumamosi Februari 22
1545 Chelsea v Everton
1800 Arsenal v Sunderland
1800 Cardiff v Hull
1800 Man City v Stoke
1800 West Brom v Fulham
1800 West Ham v Southampton
2030 Crystal Palace v Man United
Jumapili Februari 23
1630 Liverpool v Swansea
1630 Newcastle v Aston Villa
1900 Norwich v Tottenham
MSIMAMO:
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1 
Chelsea
26
17
6
3
48
21
27
57
2 
Arsenal
26
17
5
4
48
26
22
56
3
Man City
25
17
3
5
68
27
41
54
4
Liverpool
26
16
5
5
66
32
34
53
5
Tottenham
26
15
5
6
36
32
4
50
6
Everton
25
12
9
4
37
26
11
45
7
Man United
26
12
6
8
41
31
10
42
8
Southampton
26
10
9
7
37
29
8
39
9
Newcastle
26
11
4
11
32
38
-6
37
10
Swansea City
26
7
7
12
33
36
-3
28
11
West Ham
26
7
7
12
28
33
-5
28
12
Aston Villa
26
7
7
12
27
36
-9
28
13
Hull
26
7
6
13
25
31
-6
27
14
Stoke
26
6
9
11
27
41
-14
27
15
Crystal Palace
25
8
2
15
18
34
-16
26
16
Norwich
26
6
7
13
19
39
-20
25
17
West Brom
26
4
12
10
30
38
-8
24
18
Sunderland
25
6
6
13
25
38
-13
24
19
Cardiff
26
5
7
14
19
44
-25
22
20
Fulham
26
6
2
18
26
58
-32
20
Powered by Blogger.