Header Ads

PIGA NIKUPIGE ANFIELD, LIVERPOOL YAIBUKA KIDEDEA!

>>LOIC REMY AIPA USHINDI NEWCASTLE DAKIKA ZA MAJERUHI!

LIGI KUU ENGLAND
RATIBA MECHI ZIJAZO:
Jumapili Februari 23
Liverpool 4 Swansea 3
Newcastle 1 Aston Villa 0
[Saa za Bongo]
1900 Norwich v Tottenham

LIVERPOOL 4 SWANSEA 1
Bao mbili za Danniel Sturridge na mbili za Jordan Henderson zimewapa ushindi Liverpool wa Bao 4-3BPL2013LOGOwalipokutana na Swansea City Uwanjani Anfield katika Mechi ya Ligi Kuu England.

MAGOLI:
Liverpool 4
-Sturridge Dakika ya 3 & 36
-Henderson 20 & 74
Swansea 3
-Shelvey Dakika ya 23
-Bony 27 & 47 (Penati)
++++++++++++++++++
Ushindi huu umewafanya Liverpool waendelee kubaki Nafasi ya 4 ile ile wakiwa Pointi 1 nyuma ya Man City, 3 nyuma ya Arsenal na 4 nyuma ya Vinara Chelsea.
VIKOSI:
LIVERPOOL: Mignolet, Johnson, Skrtel, Agger, Flanagan, Coutinho, Gerrard, Henderson, Sterling, Suarez, Sturridge
Akiba: Brad Jones, Toure, Aspas, Moses, Cissokho, Allen, Teixeira.
SWANSEA: Vorm, Rangel, Chico, Williams, Taylor, Britton, de Guzman, Dyer, Shelvey, Routledge, Bony
Akiba: Amat, Hernandez, Tiendalli, Canas, Tremmel, Ngog, Emnes.
Referee: Mike Jones
NEWCASTLE 1 ASTON VILLA 0
Bao la Dakika za Majeruhi la Loic Remy limewapa ushindi wa Nyumbani Newcastle wa Bao 1-0 walipocheza na Aston Villa Uwanjani St James' Park ambako walikuwa hawajashinda katika Mechi 4 za Ligi Kuu England.
Hii ilikuwa Mechi ya kwanza kwa Loic Remy ambae alifungiwa Mechi 3 baada kupewa Kadi Nyekundu na kipindi chote hicho cha Kifungo chake Newcastle walishindwa kufunga hata Bao moja.
VIKOSI:
NEWCASTLE: Krul, Debuchy, Williamson, Coloccini, Dummett, Sissoko, Tiote, Anita, Gouffran, Remy, Cisse
Akiba: Yanga-Mbiwa, Gosling, De Jong, Haidara, Elliot, Shola Ameobi, Steven Taylor.
ASTON VILLA: Guzan, Bacuna, Baker, Vlaar, Bertrand, Weimann, Westwood, Delph, El Ahmadi, Benteke, Agbonlahor
Akiba: Bennett, Clark, Albrighton, Steer, Sylla, Tonev, Holt.
Refa: Martin Atkinson
MSIMAMO:
NA
TIMU
P
GD
PTS
1
Chelsea
27
28
60
2
Arsenal
27
25
59
3
Man City
26
42
57
4
Liverpool
27
35
56
5
Tottenham
26
4
50
6
Man Utd
27
12
45
7
Everton
26
10
45
8
Newcastle
27
-5
40
9
Southampton
27
6
39
10
West Ham
27
-3
31
11
Hull
27
-2
30
12
Swansea
27
-4
28
13
Aston Villa
27
-10
28
14
Stoke
27
-15
27
15
Crystal Palace
26
-18
26
16
West Brom
27
-8
25
17
Norwich
26
-20
25
18
Sunderland
26
-16
24
19
Cardiff
27
-29
22
20
Fulham
27
-32
21
RATIBA MECHI ZIJAZO:
[Saa za Bongo]
Jumamosi Machi 1
1800 Everton v West Ham
1800 Fulham v Chelsea
1800 Hull v Newcastle
1800 Stoke v Arsenal
2030 Southampton v Liverpool
Jumapili Machi 2
1930 Aston Villa v Norwich
1930 Swansea v Crystal Palace
1930 Tottenham v Cardiff
Jumamosi Machi 8
1545 West Brom v Man Utd
1800 Cardiff v Fulham
1800 Crystal Palace v Southampton
1800 Norwich v Stoke
1800 West Ham v Hull
2030 Chelsea v Tottenham
Powered by Blogger.