MECHI za KIMATAIFA KIRAFIKI: KUNGURUMA JUMATANO!
>>TAIFA STARS, BILA YANGA, POULSEN, WAKO WINDHOEK KUCHEZA NA NAMIBIA!
>>BAFANA BAFANA KUIVAA BRAZIL, MABINGWA SPAIN v ITALY!
>>ENGLAND v DENMARK, GERMANY v CHILE, FRANCE v HOLLAND!
JUMATANO Machi 5 ni Siku ya Kalenda ya
FIFA kwa Mechi za Kimataifa na Nchi nyingi zimeandaa Mechi za Kirafiki
za Timu zao za Taifa.
Taifa Stars, baada kumuondoa Kocha Kim
Poulsen na pia kutowajumuisha Wachezaji wa Klabu ya Yanga ambao
wanatakiwa kwenda Cairo, Misri Wikiendi hii kurudiana na Mabingwa wa
Afrika, Al Ahly, wako huko Mjini Windhoek kucheza na Namibia.
Wenyeji wa Fainali za Kombe la Dunia, zitakazochezwa Mwezi Juni, Brazil, wako huko Nchini South Afrika kucheza na Bafana Bafana.
PATA RATIBA KAMILI:
MECHI za KIMATAIFA KIRAFIKI
RATIBA
[Muda ukitajwa ni Bongo Taimu]
Jumatano Machi 5
Pakistan Vs Afghanistan
Honduras Vs Venezuela
Malawi Vs Zimbabwe
Morocco Vs Gabon
Mozambique Vs Angola
Senegal Vs Mali
Panama Vs Peru
Namibia Vs Tanzania
Mauritania Vs Niger
Zambia Vs Uganda
Congo Vs Libya
Grenada Vs Jamaica
12:00 Australia Vs Ecuador
13:40 Japan Vs New Zealand
15:30 India Vs Bangladesh
16:30 Burundi Vs Rwanda
20:00 Russia Vs Armenia
20:00 Georgia Vs Liechtenstein
20:00 Iran Vs Guinea
21:00 Lithuania Vs Kazakstan
21:00 Azerbaijan Vs Philippines
20:00 Hungary Vs Finland
20:00 Greece Vs South Korea
20:00 Albania Vs Malta
20:00 Algeria Vs Slovenia
20:00 South Africa Vs Brazil
20:00 Montenegro Vs Ghana
20:30 Israel Vs Slovakia
20:30 Bosnia Vs Egypt
20:30 Czech Republic Vs Norway
21:00 Cyprus Vs Northern Ireland
21:00 Macedonia Vs Latvia
21:00 Andorra Vs Moldova
21:00 Colombia Vs Tunisia
21:30 Luxembourg Vs Cape Verde
21:30 Turkey Vs Sweden
22:00 Romania Vs Argentina
22:00 Ukraine Vs United States
22:00 Gibraltar Vs Estonia
22:30 Austria Vs Uruguay
22:30 Switzerland Vs Croatia
22:45 Poland Vs Scotland
22:45 Germany Vs Chile
22:45 Belgium Vs Ivory Coast
22:45 Wales Vs Iceland
22:45 Ireland Vs Serbia
23:00 France Vs Netherlands
23:00 England Vs Denmark
22:45 Portugal Vs Cameroon
23:00 Spain Vs Italy
23:59 Saint Lucia Vs Jamaica
Alhamisi Machi 6
1:30 Mexico Vs Nigeria
2:00 Costa Rica Vs Paraguay