TASAF YAFUNGUA SEMINA ELEKEZI KWA MAAFISA WAKE JIJINI DAR LEO
Maafisa
ufuatiliaji wa TASAF wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi
Mtendaji wa TASAF Ladislaus Mwamanga (aliyeketi katikati) baada ya
kufungua semina elekezi jijini DSM
Mkurugenzi
Mtendaji wa TASAF ,Ladislaus Mwamanga akisisitiza jambo wakati
alipofungua semina elekezi kwa maafisa ufuatiliaji (TA) iliyofanyika
kwenye ukumbi wa CEEMI jijini DSM.
Baadhi
ya Maafisa ufuatiliaji ambao wanatarajiwa kuanza kazi katika
halmashauri kadhaa za wilaya nchini wakimsikiliza mkurugenzi Mtendaji wa
TASAF Ladislaus Mwamanga (hayupo pichani)alipofungua semina elelekezi .
Mkurugenzi
wa Uratibu wa TASAF Alphonce Kyariga akitoa neno la utangulizi kwa
maafisa Ufuatiliaji wa TASAF ambao wameanza semina elekezi ya siku TATU
kwenye ukumbi wa CEEM jijini DSM.