Gari hilo likiwa eneo la tukio baada ya kuangua na kuharibika vibaya Gari la Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga, Hamis Mgeja, yenye namba T 862 BBC aina ya JEEP, imepata ajali mchana huu katika maeneo ya Nyasubi Kahama, kwenye barabara kuu iendayo nchi jirani za Rwanda na Burundi.