Hii Ndiyo Movie Kali Iliyoongoza Kwa Mauzo Wiki Hii
Kwa wale wapenda filamu za kimarekani zenye story kali watakuwa
wameshaiona Think Like a Man iliyoongozwa na Tom Story ambayo ilikuwa
moja kati ya filamu zilizozungumzwa sana mwaka 2013/2014 tena.
Lakini wakaLi wengine wameungana kuitengeneza Think Like A Man Too ambayo imeongozwa na Tom Story, imeingia sokoni kwa wiki ya kwanza tu na kuuza zaidi ya $32 million kwa mujibu wa Box Office, na ndiyo filamu iliyoongoza kwa mauzo wiki hii ikiifunika ’22 Jump Street na How to Train Your Dragon Too’ zilizoongoza wiki iliyopita.