Header Ads

TAARIFA YA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA

WATU WAWILI WANAOSADIKIWA KUWA NI MAJAMBAZI USIKU WA KUAMKIA LEO MAJIRA YA SAA 04:30 ALFAJIRI WALIONEKANA NA WALINZI WA USIKU WA ENEO LA SOKO KUU LA TUNDUMA LILILOPO KATIKA KATA NA TARAFA YA TUNDUMA WILAYA YA MOMBA WAKIWA NA SILAHA BUNDUKI NA KUWATILIA MASHAKA KUWA WANA NIA YA KUFANYA UHALIFU YAANI UNYANG’ANYI WA KUTUMIA SILAHA.

Powered by Blogger.