NDEGE YAANGUKA MBUGANI SERENGETI BAADA YA KUPOTEZA MAWASILIANO
- KitaifatanguliziJeuri ya Sitta
- KitaifatanguliziMrema amlilia JK amfukuze Mbatia
- KitaifatanguliziWagomea EFD’s Dar
- KitaifamotoSusan Kiwanga atetea kiti Moro
- KitaifaNdege yaanguka mbugani Serengeti
- DodomaKitaifaAskofu: Katiba mpya ngumu kupatikana
- Kitaifa700 kushiriki maonyesho ya madini Arusha
- KitaifaMawazo ashinda uenyekiti Geita
- MikoaniMtwaraWana CCM Newala wahimizwa umojaMikoaniMtwara
- KataviMikoanimotoMganga amuua mwanaye kisa kazaliwa katanguliza makalio
- ArushaMikoaniCHADEMA waaswa uadilifu
- KageraMikoaniNHC yatoa mashine za matofali Kagera
- MikoaniTangaCHADEMA Tanga Mjini wapata viongozi wapya
- MikoaniTaboraChuo cha nyuki Tabora kupandishwa hadhi
- MichezoVitu vya Coutinho, Jaja Uwanja wa Taifa kesho
- MichezomotoMeya Kapunga awakera mashabiki Mbeya City
- MichezoWachezaji Taifa Stars kuripoti kambini leo
- BurudaniLinex aomba radhi mashabiki wake
- BurudaniSilaa awafunda warembo Miss Ilala
- BurudaniTamasha la ‘Handeni Kwetu’ Desemba 13
- BurudanimotoDiamond anusurika kichapo Ujerumani
- DarmotoSerikali yashauriwa kupunguza kodi
- DarWakazi Tambani waomba daraja
- DarMil. 97/- kurejesha maji Ubungo
- DarWaliofadhiliwa na JICA kuagwa kesho
- DarTUCTA: Tazara lipeni wafanyakazi
- MakalaUpendo Peneza: Binti mwenye fikra za Mandela, Biko, Nyerere, Bibi Titi
- KitaifatanguliziGiza nene Bunge la Katiba
- Kitaifatangulizi284 wajitosa uchaguzi CHADEMA
- KitaifaKada CCM mbaroni kwa ubakaji, ujambazi
- KigomaMikoanimotoTPB yafungua tawi Kigoma
- KitaifatanguliziNgoma za vigodoro zarejea Dar
- DarPaa lamuua fundi seremala
- DarmotoWafanyabiashara shimoni Kariakoo walilia taa
- KitaifamotoProf. Wangwe: Tumieni takwimu sahihi
- KitaifaEnoc Afrika yashinda zabuni uagizaji mafuta
- KitaifaTMA yatahadharisha upepo, mawimbi
- KitaifaTPSF yasisitiza matumizi ya Tehama
- DarSt. Methew Kongowe yapongezwa
- MikoaniRukwaWanafunzi wazua tafrani Nkasi
- MikoaniPembaUVCCM yawataka Wazanzibar kushikamana
- MikoaniMwanzaWanawake 600 kupata elimu ya biashara
- MikoaniMorogoroMoro, Dar washirikiana kutokomeza umaskini
- MikoaniTangaNHC yawakumbuka vijana Muheza
- DarmotoNdoa yakwama kanisani Dar
- BurudanimotoMsama akamata CD feki Dar za Mil 200/-
- MichezomotoBin Kleb arudi Yanga
- MichezoSimba yaitungua KMKM 5-0
- BurudaniMwanaafa azoa Mil. 50 za TMT
- MichezoSimba yawazuia Tambwe, Kwizera
- KitaifatanguliziCHADEMA yatia hofu CCM
- DarmotoMama Salma awafunda walimu
- KitaifatanguliziJK abanwa Bunge la Katiba
- KitaifatanguliziMarando, Baregu, Safari wachuana
- KitaifamotoNECTA kutoa matokeo kwa mfumo wa GPA
- KitaifaWatoto wateketea
- MikoanimotoSalum Mwalim ajitosa CHADEMA
- KitaifaWananchi wamzuia JK awasikilize
- MaraMikoaniACT: CCM imepuuza wananchi
- MikoaniPwaniDiwani asuasa kwa kutoteuliwa
- MakalaSamuel Sitta ni mzalendo!
- KitaifaDk Magufuli: CCM itanusurika na miradi ya barabara
- DodomaMikoaniMbunge azijia juu taasisi za serikali
- KitaifaShahidi: Wasafirishaji wa Twiga hawana hadhi ya kidiplomasia
- MakalaWatoto yatima, ujinga, umasikini na Ukimwi
- MakalaUKAWA kukutana na JK muda huu ni kujidhalilisha
- MakalaCCM ni wale waliozoea vyakunyonga
- MakalaKikwete aikubali ilani ya CHADEMA!
- MakalaMoyo wa Mbowe unapaswa upongezwe na kuigwa
- MakalaJaji Kaganda: Hatukatazi viongozi kumiliki mal
mbugani Kongetende, Serengeti mkoani Mara.
Awali, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, (SACP), Valentino Mlowola, alithibitisha kutokea kwa tukio la kuanguka ndege hiyo yenye namba za usajili 5Y SXP Fokker 27 iliyoanza safari zake mjini Mwanza majira ya 1:26 usiku kwenda Nairobi.
Kwa mujibu wa taarifa ya awali kuhusu ajali hiyo iliyotolewa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA), Charles Chacha baada ya kutokea kwa ajali hiyo, mabaki ya ndege yameonekana katika eneo la Kogetende, asubuhi ya jana.
Hata hivyo, alisema kuwa hadi sasa hawana uhakika kama wafanyakazi waliyokuwema katika ndege hiyo wamepoteza maisha au laah.
Aliongeza kuwa, ndege hiyo ya mizigo inayomilikiwa na Kampuni ya Safari Express ya Nairobi Kenya, iliondoka uwanja wa ndege wa Mwanza saa 1: 26 usiku na ilitarajiwa kufika Nairobi saa 2:39 usiku kama isingepata ajali.
Chacha alieleza kuwa, mawasiliano ya mwisho na ndege hiyo yalikuwa saa 2:05 usiku wakati ndege ipo umbali wa kilometa 40 kutoka mpaka wa Tanzania na Kenya ikiwa angani futi 17,000 juu ya usawa wa bahari.
Alieleza ndege ilipaswa kuvuka eneo la mpaka wa Tanzania na Kenya saa 2:11 usiku, lakini ilipoteza mawasiliano na kituo kikuu cha kuongozea ndege cha Dar es Salaam na kwamba, hakukuwa na taarifa zozote kutoka kwa rubani wa ndege hiyo kuonyesha iwapo ilikuwa na tatizo au laah.
Alisema baada ya kubainika kwa mabaki hayo, mchakato wa uchunguzi wa ajali hiyo ili kubaini sababu iliyosababisha ajali hiyo umeanza na unawashirikisha wataalamu kutoka Mamlaka na Kitengo cha Uchunguzi wa Ajali.