CCM KUMTEUA MGOMBEA URAIS ANAYEKUBALIKA NA WENGI, KIPENGA KUPULIZWA JUNI
A |
FILIMBI kwa ajili ya kuanza kampeni za
kuwania kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi za udiwani,
ubunge na urais, itapulizwa rasmi Juni mwaka huu.
“Unajua kuna haki lakini pia kuna busarakatika kuchagua viongozi. Haki ni kwa mwanaCCM yeyote kujitokeza kugombea,lakini wakati mwingine busara inatumika kupima kile alichofanya kiongozialiyepo madarakani katika kuwaletea maendeleo, na hivyo kustahili kuchaguliwatena,” alisema Kinana