KURA YA MAONI KATIBA MPYA IPO PALE PALE, YASEMA NEC
TUME ya Taifa ya Uchaguzi(NEC)
imesisitiza kwamba tarehe ya kufanyika kwa kura ya maoni kuhusu Katiba
Inayopendekezwa ipo pale pale na hakuna mabadiliko yoyote kama inavyonukuliwa
na baadhi ya vyombo vya habari.
Aliongeza kuwa endapo daftari la kudumula wapiga kura litakuwa halijakamilika hadi ifikapo Aprili 30 mwaka huu, tumeitatoa taarifa rasmi ikiwa ni pamoja na kuelezea mwelekeo wa utaratibu huokatika Mikoa mingine.