MSIGWA, LISSU, LEMA NA PROFESA J KUTIKISA IRINGA MCHANA WA LEO
WAKATI Chama cha Mapinduzi (CCM)
kikitarajiwa kufanya mkutano wake mkubwa kesho jumapili katika viwanja vya
Mwembetogwa mjini Iringa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo Jumamosi
kinatarajiwa kufanya kufuru katika uwanja huo huo.
Leo na kesho wakazi wa Iringa wanatarajiakusikiliza sera za vyama hivyo vya Chadema na CCM ikiwa imebaki miezi michachekabla ya kufanyika kwa Uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani.