KINANA NA UJUMBE WAKE AWASILI WILAYA YA MBOZI,TAYARI KWA ZIARA YA KUKUTANA NA WANACHAMA NA WANANCHI.
Pichani
kulia ni Mkuu wa MKoa wa Mbeya,Mh.Abbas Kandoro akimkaribisha Katibu
Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana,mara baada ya kuwasili mapema leo
asubuhi kwenye Ofisi ya CCM Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya..Ndugu Kinana
na ujumbe wake yuko ziarani mkoani humo kukagua utekelezaji wa Ilani ya
CCM,kusikiliza kero za Wananchi na namna ya kuzipatia ufumbuzi,
Katibu
Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Machifu wa Wilaya
ya Mbozi walipowasili mapema leo asubuhi kwenye Ofisi ya CCM Wilaya ya
Mbozi.Ndugu Kinana na ujumbe wake yuko ziarani mkoani Mbeya kukagua
utekelezaji wa Ilani ya CCM,kusikiliza kero za Wananchi na namna ya
kuzipatia ufumbuzi,
Ndugu
Kinana akizungumza na Wajumbe Wajumbe wa Halmashauri kuu ya Wilaya ya
Mbozi mapema leo asubuhi,ndani ya ofisi za CCM Wilaya ya Mbozi,mkoani
Mbeya.
Pichani
kulia ni Mkuu wa MKoa wa Mbeya,Mh.Abbas Kandoro akisalimiana na Katibu
wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt.Rose Migiro akiwa sambamba na
Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye,mara baada ya kuwasili
mapema leo asubuhi kwenye Ofisi ya CCM Wilaya ya Mbozi mkoani
Mbeya..Ndugu Kinana na ujumbe wake yuko ziarani mkoani humo kukagua
utekelezaji wa Ilani ya CCM,kusikiliza kero za Wananchi na namna ya
kuzipatia ufumbuzi,
Pichani
ni baadhi ya Wanachama wa CCM na Wananchi wakiupokea ujumbe wa Katibu
Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana walipowasili mapema leo asubuhi
kwenye Ofisi ya CCM Wilaya ya Mbozi.Ndugu Kinana na ujumbe wake yuko
ziarani mkoani Mbeya kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM,kusikiliza kero
za Wananchi na namna ya kuzipatia ufumbuzi,