Header Ads

JAMII IMEASWA KUEPUKANA NA UASHERATI ILI KUPUNGUZA ONGEZEKO LA MAAMBUKIZI YA UKIMWI NCHINI.

Wanafunzi wa chuo cha Uandishi wa Habari na utangazaji Arusha (A.J.T.C)Wakijadili mada kuhusu kuongezeka kwa maambukizi ya virusi vya Ukimwi nchini katika ukumbi wa chuo hicho jijini Arusha mapema leo hii.
Baadhi ya Wanachuo wakijadili mada ya Ukimwi nje ya jengo la Chuo hicho.

Powered by Blogger.