RAIS KIKWETE AZINDUA KONGAMANO LA KILIMO AFRICA MASHARIKI
:Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea kitabu cha Mandela toka kwa Mkurugenzi
wa Programu wa Spintelligent ya Afrika Kusini Bi. Amore Swart baada ya
kufungua rasmi kongamano la Kilimo Afrika Mashariki katika hoteli ya
Serena jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2014.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo toka kwa Bi Meab Mdimi wa Kampuni
ya Kilimo ya TECHNOSERVE baada ya kufungua rasmi kongamano la Kilimo
Afrika Mashariki katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo
Januari 28, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo katika banda la Mpango wa Kuendeleza Sekta ya Kilimo Kusini mwa Ukanda wa Afrika (SAGCOT)
baada ya kufungua rasmi kongamano la Kilimo Afrika Mashariki katika
hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2014.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa kufungua rasmi kongamano la
Kilimo Afrika Mashariki katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo
Januari 28, 2014. PICHA NA IKULU.