Header Ads

LIGI KUU ENGLAND: OX AIPANDISHA ZE GANAZ KILELENI!

>>JUMATATU USIKU ETIHAD MOTO: CITY v CHELSEA!!
++++++++++++++++++++++++++
LIGI KUU ENGLAND
MATOKEO:
Jumapili Februari 2
West Brom 1 Liverpool 1
Arsenal 2 Crystal Palace 0
++++++++++++++++++++++++++
OXLADE-CHAMBERLAINBAO mbili za Kipindi cha Pili za Alex Oxlade-Chamberlain za Dakika ya 47 na 73 Usiku huu zimewapa ushindi wa Bao 2-0 dhidi ya Crystal Palace na kuwapandisha kileleni mwa Msimamo wa Ligi Kuu England wakiwa Pointi 2 mbele ya Manchester City ambao kesho Jumatatu Usiku wako kwao Etihad kuivaa Chelsea.
Bao la kwanza lilitengenezwa na Santi Cazorla na la pili kusukwa na Olivier Giroud na yote kumaliziwa kifundi na Oxlade-Chamberlain ambae hii ndio mara ya kwanza kufunga Msimu huu kwenye Ligi.
VIKOSI:
Arsenal: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Arteta, Cazorla, Oxlade-Chamberlain, Ozil, Podolski, Giroud
Akiba: Rosicky, Fabianski, Bendtner, Jenkinson, Gibbs, Gnabry, Zelalem.
Crystal Palace: Speroni, Ward, Gabbidon, Delaney, Parr, Bolasie, Jedinak, Dikgacoi, Puncheon, Chamakh, Jerome
Akiba: Hennessey, Mariappa, McCarthy, Gayle, Wilbraham, Guedioura, Bannan.
Refa: Jon Moss
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA:
[Saa za Bongo]
Jumatatu Februari 3
23:00 Man City v Chelsea
MSIMAMO:
NA
TIMU
P
GD
PTS
1
Arsenal
24
26
55
2
Man City
23
42
53
3
Chelsea
23
23
50
4
Liverpool
24
29
47
5
Everton
24
12
45
6
Tottenham
24
-1
44
7
Man Utd
24
10
40
8
Newcastle
24
1
37
9
Southampton
24
7
35
10
Aston Villa
24
-7
27
11
Stoke
24
-14
25
12
Swansea
24
-6
24
13
Hull
24
-7
24
14
Sunderland
24
-11
24
15
Norwich
24
-18
24
16
Crystal Palace
24
-18
23
17
West Brom
24
-6
23
18
West Ham
24
-9
22
19
Cardiff
24
-22
21
20
Fulham
24
-31
19
RATIBA MECHI ZIJAZO:
[Saa za Bongo]
Jumamosi Februari 8
1545 Liverpool v Arsenal
1800 Aston Villa v West Ham
1800 Chelsea v Newcastle
1800C rystal Palace v West Brom
1800 Norwich v Man City
1800 Southampton v Stoke
1800 Sunderland v Hull
2030 Swansea v Cardiff
Jumapili Februari 9
1630 Tottenham v Everton
1900 Man United v Fulham
Jumanne Februari 11
2245 Cardiff v Aston Villa
2245 Hull v Southampton
2245 West Ham v Norwich
2300 West Brom v Chelsea
Jumatano Februari 12
2245 Arsenal v Man Unitwd
2245 Everton v Crystal Palace
2245 Man City v Sunderland
2245 Newcastle v Tottenham
2245 Stoke v Swansea
2300 Fulham v Liverpool
Powered by Blogger.