Header Ads

MAN CITY WATAKA KUIMALIZA ARSENAL

>>JUMAMOSI EMIRATES: ARSENAL v MAN CITY!!
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA
[Saa za Bongo]
Jumamosi Machi 29
1545 Man Utd v Aston Villa
1800 Crystal Palace v Chelsea
1800 Southampton v Newcastle
1800 Stoke v Hull
1800 Swansea v Norwich
1800 West Brom v Cardiff
2030 Arsenal v Man City
Jumapili Machi 30
1530 Fulham v Everton
1800 Liverpool v Tottenham
Jumatatu Machi 31
2200 Sunderland v West Ham
++++++++++++++++++++++++
MAN_CITY-BINGWA_COC2014JUMAMOSI, Manchester City watatua Emirates kupambana na Kikosi cha Arsene Wenger, Arsenal, kwenye Mechi muhimu mno katika hatima ya Ubingwa wa Ligi Kuu England ambapo Mshindi wake atakuwa amejipigia hatua kubwa kwenye mbio za kutwaa Taji.
Katika Siku za hivi karibuni, Wenger amekuwa na mikosi mikubwa baada kutandikwa 6-0 na Chelsea na kuruhusu Bao, tena la kujifunga wenyewe, walipotoka Sare 2-2 na Swansea City katika Mechi yao iliyofuatia baada ya kipigfo chao kikubwa ambayo walicheza Juzi Jumanne.
Man City wapo Nafasi ya 3, Pointi 3 nyuma ya Chelsea lakini wana Mechi mbili mkononi, na baada ya Jumanne kuitwanga Man United 3-0 Uwanjani kwao Old Trafford, watataka kuendeleza wimbi lao la ushindi kwa pia kuifunga Arsenal.
Wakati Chelsea Wikiendi watasafiri kwenda kucheza na Timu inayosuasua Crystal Palace, Liverpool, ambao wapo Nafasi ya Pili, Pointi 1 nyuma ya Chelsea, wapo Nyumbani Anfield kuikaribisha Tottenham Hotspur, Timu isiyotabirika.
Akiongelea Mechi yao na Man City, Wenger amesema: “City walipata ushindi mzuri na United, wanaonyesha hawawezi kuzuilika na wao ndio wenye nafasi kubwa ya kutwaa Ubingwa kwani wana Mechi mbili mkononi. Wao na Chelsea ndio wana nafasi kubwa! Sisi nafasi yetu finyu kwani inabidi tusikosee hata kidogo!”
Lakini Nahodha wa Man City, Vincent Kompany, ambae Timu yake iliitandika Arsenal Bao 6-3 katika Mechi yao ya Ligi Msimu huu huko Etihad, amesema Mechi hii ni ngumu.
LIGI KUU ENGLAND
MSIMAMO:
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Chelsea
31
21
6
4
62
23
39
69
2
Liverpool
31
21
5
5
84
39
45
68
3
Man City
29
21
3
5
79
27
52
66
4
Arsenal
31
19
6
6
54
35
19
63
5
Everton
30
16
9
5
46
30
16
57
6
Tottenham
31
17
5
9
40
40
0
56
7
Man United
31
15
6
10
48
37
11
51
8
Newcastle
31
14
4
13
38
43
-5
46
9
Southampton
31
12
9
10
45
40
5
45
10
Stoke
31
9
10
12
36
45
-9
37
11
West Ham
31
9
7
15
34
41
-7
34
12
Aston Villa
30
9
7
14
33
42
-9
34
13
Hull
31
9
6
16
33
39
-6
33
14
Norwich
31
8
8
15
26
48
-22
32
15
Swansea
31
7
9
15
41
47
-6
30
16
West Brom
30
5
13
12
33
45
-12
28
17
Crystal Palace
30
8
4
18
19
39
-20
28
18
Sunderland
29
6
7
16
27
45
-19
25
19
Cardiff
31
6
7
18
26
58
-32
25
20
Fulham
31
7
3
21
30
70
-40
24
Powered by Blogger.