Mbunge wa jimbo la Mpanda Kati (Chadema) Said
Arfi akijisajilli katika orodha ya wajumbe wanaoshiriki Bunge la Rasimu
ya Katiba mpya mjini Dodoma wakati hivi sasa bunge hilo linaendelea na vikao . Kulia ni Mfanyakazi wa Bunge Jamhuri ya
Muungano,Lweli Lupondo.
|