Mbunge wa Arumeru Mashariki Mh.
Joshua Nasary akitoa salamu za Pole kwa wafiwa wote wakati wa mazishi
ya Marehemu Emmanuel Pendael Pallangyo aliyefariki Tarehe 7.02.2015 na
kuzikwa kijijini kwao Sing'isi Meru tarehe 12.02.2015 .
MBUNGE MH. JOSHUA NASARI (MB) AONGOZA MAZISHI YA ALIYEKUWA MWANAFUNZI WA IFM EMMANUEL P. PALLANGYO ,SING'ISI MERU ARUSHA.
Reviewed by
Unknown
on
11:00 PM
Rating:
5